Taasisi ya TRI pamoja na EWAGITA ambao ni taasisi wanachama wa umoja wa kupambana na Biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu

Tunawapongeza Taasisi ya TRI pamoja na EWAGITA ambao ni taasisi wanachama wa umoja wa kupambana na Biashara ya usafirishaji haramu wa binadamu nchini TANAHUT kwa kuendelea kutoa elimu ya Usafirishaji haramu wa Binadamu mashuleni siku ya leo Jijini Dar es Salaam katika shule ya Msingi Mzambarauni. Hii ni hatua nzuri kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku hii duniani ambayo ni tarehe 30.7 mwaka huu.

About the Author

Leave a Reply

You may also like these