Leo taasisi wanachama wa TANAHUT wamekutana pamoja na kufanya kikao kilichoandaliwa na taasisi ya DMI.

Leo taasisi wanachama wa TANAHUT wamekutana pamoja na kufanya kikao kilichoandaliwa na taasisi ya DMI. Lengo likiwa ni kupitia na kupitisha tathmini ya mpango wa kudhibiti Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu, Kutoa msaada wa kielimu kwa watoto kuanzia shule ya msingi hadi sekondari lakini pia kuendelea kuzijumuisha asasi mbali mbali za kiserikali.

About the Author

Leave a Reply

You may also like these