Dhumuni kubwa la mashirika haya kuungana na kutengeneza mtandao wa kitaifa wa @tanahut

Dhumuni kubwa la mashirika haya kuungana na kutengeneza mtandao wa kitaifa wa @tanahut_ ni kuunganisha nguvu ya pamoja kuhakikisha kuwa mtandao unakuwa jukwaa la kubadilishana uzoefu, kutoa mafunzo, kukusanya taarifa (data) na kuhamasisha umma juu ya madhara ya usafirishaji haramu wa binadamu. Tutaendelea kushirikiana kwa karibu na serikali na taasisi nyingine za kisheria ili kutekeleza sheria No.6/2008 na kutoa msaada na huduma sitahiki kwa wahanga wa usafirishaji haramu wa Binadamu.

About the Author

Leave a Reply

You may also like these